Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi Jane Katingo, Mama Mzazi wa Aliekuwa
Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati
alipokwenda nyumbani kwa marehemu
huyo katika kijiji cha Magunga, Iringa
kutoa pole na kuangalia maandalizi ya mazishi
Waziri mkuu, Mizengo
Pinda akizungumza na jamaa wa karibu wa aliyekuwa waziri wa
Fedha, Dr. WilliamMgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu katika kijiiji
cha Magunga, Iringa kuwapa pole
wafiwa na kukagua maadalizi
ya mazishi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Waziri
wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu
katika kijiji cha Magungua, Iringa kuwapa pole na kukagua maandalizi ya
mazishi (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


eee kweli mazishi december 5? lahaula la kwata hivi michizi una saumu au swaumu? naona vidole vina kwi kwi.
ReplyDeleteMdau wa kwanza hapo juu, samahani mie naomba kukusahihisha hiyo aya siiyo 'lahaula LA KWATA' bali ni "La Hawla WaLa Quwwata...." na ni vizuri kuimalizia ...Illa Billah, ikasomeka "LA HAWLA WALA QUWWATA ILLA BILLAH" ( Hapana MOLA apasae kuabudiwa kwa haqqi ila MWENYEEZ MUNGU)
ReplyDeleteAnyone can make mistake,wewe #1 mbona umeandika michizi badala ya Michuzi.?
ReplyDelete