Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Bibi Jane Katingo, Mama Mzazi wa Aliekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati  alipokwenda  nyumbani kwa marehemu huyo katika kijiji cha Magunga, Iringa  kutoa pole na kuangalia maandalizi ya mazishi  
 Waziri mkuu, Mizengo  Pinda  akizungumza na   jamaa wa karibu wa aliyekuwa waziri wa Fedha, Dr. WilliamMgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu katika kijiiji cha Magunga, Iringa kuwapa pole  wafiwa  na kukagua maadalizi ya  mazishi 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwafariji  wanafamilia wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu katika kijiji cha  Magungua, Iringa kuwapa pole na kukagua maandalizi ya mazishi  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. eee kweli mazishi december 5? lahaula la kwata hivi michizi una saumu au swaumu? naona vidole vina kwi kwi.

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza hapo juu, samahani mie naomba kukusahihisha hiyo aya siiyo 'lahaula LA KWATA' bali ni "La Hawla WaLa Quwwata...." na ni vizuri kuimalizia ...Illa Billah, ikasomeka "LA HAWLA WALA QUWWATA ILLA BILLAH" ( Hapana MOLA apasae kuabudiwa kwa haqqi ila MWENYEEZ MUNGU)

    ReplyDelete
  3. Anyone can make mistake,wewe #1 mbona umeandika michizi badala ya Michuzi.?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...