Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Uwekezaji na Uwezeshaji) Dkt. Mary Nagu akizindua Mkataba wa Baraza la
Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu mara baada ya kuzindua Mkutano wa Baraza la
Wafanyakazi leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, (kulia) Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Regina Kikuli akimfafanulia jambo
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Bw. Packshard Mkongwa wakati wa mkutano
wa Baraza la Wafanyakazi leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Uwekezaji na Uwezeshaji) Dkt. Mary Nagu (mbele mwenye mkoba) akiwa katika
picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi mara baada ya kuzindua
Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya
Waziri Mkuu, (kushoto kwake tai nyekundu) Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt.
Florens Turuka.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...