Tangazo la onesho la Documentary : Tanzania; a Journey within, kama linavyoneka siku ya ufunguzi wake hapo April 25 jiji New York , siku ambayo Jumuiya ya Kimataifa ilikuwa ikiadhimisha siku ya Malaria Duniani. Kwa mujibu wa waandaji wa Documetary hiyo ambayo wahusika wake wakuu ni dada wa Kimarekani Kristen Kenney na kaka wa kitanzania, Venance Ndibalema mapato yatokanayo na onesho la decumentary hiyo yanapelekwa kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa malaria nchi Tanzania.
washiriki wa onyesho wakiwa wamenyayua pipi kijiti ambazo ujumbe wake ulikuwa "Malaria Sucks" ikiwa ni ishara yao ya kuunga mkono mapambano dhidi ya Malaria.
Washiriki wengi walijitokeza kuangalia documentatry hiyo ambayo tayari imeshajizoelea sifa tele, washiriki wengi licha ya kuvutiwa ma maudhui yake baadhi yao walijikuta wakitoa machozi baada ya kuguswa na walichokiona
Wahusika wakuu wa Documentary ambayo imetayarishwa nchini Tanzania, wakijiandaa kujibu maswali, kutoka kushoto, Kristen Kennye, Venance Ndibalema na Bi, Sylvia Caminer ambaye ndiye aliyeongaza decumentary hiyo, Sylvia ni mshindi wa Tuzo kadhaa za Emmy.

BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tunahitaji documentary zaidi kuhusu mambo mbalimbali ya nchi yetu. Wenye utaalamu huu nchini hasa katika sekta ya habari na elimu ya juu changamkieni fursa hizi za kuelimisha na kusambaza habari.

    ReplyDelete
  2. White Supremacy... basically

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...