: Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi wakipata maelezo ya utendaji wa mashine katika chumba cha wagonjwa mahututi  (ICU) pamoja na chumba cha uchunguzi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo chenye vitanda 100 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmiApril 27, 2014

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Haya ni maendeleo. Hivi ninyi mnaojifanya mnataka kuleta mapinduzi, haya mambo hamyaoni? Barabara zinajengwa, shule zinajengwa, Hospitali zinajengwa, vifaa vya kisasa vinazidi kuingia, umeme unazidi kusambazwa, je mnataka nini tena? Kama hamlidhiki na vitu hivi badala ya kutishia kumwaga damu za watanzania, egeni wamonaki wa kibudha wanaojichoma moto. Na ninyi jichomeni moto kama kweli mnauchungu badala ya kutishia kumwaga damu za Watanzania kwa kisingizio cha kutetea maendeleo. Hongera sana Rais Kikwete..nchi inabadilika. Kaza buti. Punguza matumizi ya serikali ili speed ya maendeleo iongezeke.
    Mwenye macho haambiwi tazama.

    ReplyDelete
  2. Kwa miaka minigi watoto wakubwa waliokuwa na matatizo ya moyo walikuwa wakipelekwa India, haya ni maendeleo makubwa kwetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...