Keki Maalumu kwa ajili ya sherehe hio
Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni jenerali mstaafu Abdulrahman Shimbo akiwa na mgeni rasmi wa sherehe za miaka 50 ya Muungano jijini Beijing, China, makamu mwenyekiti wa kamati kuu ya baraza la ushauri wa kisiasa ya watu China Mhe. Chen Yuan, wakizungumzia mahusiano yaliyopo kati ya CHina Na Tanzania kwa miaka 50 sasa.
Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni jenerali mstaafu Abdulrahman Shimbo akihutubia wakati wa sherehe za miaka 50 ya Muungano Muungano,
Sehemu ya wageni waalikwa
Mwandishi wa habari wa TBC Fatma Matulanga akifanya mahojjiano na Balozi Shimbo mara tu baada ya hafla ya sherehe za muungani mjini Beijing. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Naona hiyo keki impepambwa vizuri kabisa.
ReplyDelete