Kwa niaba ya uongozi wa Kanisa la Umoja International Outreach lenye makao yake ktk jiji hili la Dallas, ninapenda kumkaribisha kila mtu ktk semina ya neno la Mungu.
Semina hii ya aina yake itaongozwa na mtumishi Bishop Dunstan Maboya (pichani juu) kutoka Tanzania.
Mungu amekuwa akimtumia huyu mtumishi kwa ishara na miujiza mingi.Ninapenda kumkaribisha kila mtu ktk semina hii.Leteni wagonjwa mbali mbali kwa ajili ya maombezi.
Siku: Tarehe 16-18 (Friday-Sunday)
Time:Friday ni 6:00pm
Saturday & Sunday ni 5:00 pm.
Mahali:Umoja Church; 6411LBJ FREEWAY DALLAS TEXAS,75240
Mawasiliano: 214 554 7381,
682 552 6402
Karibuni sana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...