Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali ya wabunge wakati alipohitimisha hoja ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Mei 9, 2014.
Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akiwa anaendesha kikao cha Bunge leo wakati wa majadiliano ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na TAMISEMI.
Wabunge wakifuatilia mjadala ndani ya Bunge.
Spika wa zamani ambaye pia ni Waziri wa Ushirikiano wa Africa Mashariki Mhe.Samweli Sitta kushoto akijadiliana jambo na Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda Mara baada ya Bunge kuahirishwa hadi jioni leo. 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipongezwa na Mkewe Tunu baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Ofisi yake mjini Dodoma Mei 9, 2014. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Pudenciana Kikwembe na watatu kushoto ni mbunge wa Temeke, Abas Mtemvu.
Waziri Mkluu, Mizengo Pinda akipongezwa na katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuka baada ya bunge kupitisha bajeti ya Ofisi yake mjini Dodoma Mei 9,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2014

    hawa jamaa ili kuonyesha kutukuka kweli na kuipenda inji hii wangekaa hivi vikao siku 52 sijui bila kulipwa ,ili ule mzigo ambao wangepewa ungeenda kumaliza tatizo la umeme ..ingekuwa safi sana hata mimi ningepiga kura mwakani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...