Mbunge wa Mwibara Mhe.Kange Lugola akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo Juni 11, 2014.
Mbunge wa Mwibara Mhe.Kange Lugola akivua bango alilokuwa ameva wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mheshimiwa yuko fasta!
ReplyDeleteanachapukia tender hana maskharaaaaah
ReplyDeleteNimekubali Lugola ni kiboko!
ReplyDeletemwibara wanae kiongozi
ReplyDelete