Washiriki wa Shindano la Miss Temeke 2014,wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye kambi yao ya Mazoezi iliyoanza rasmi Agosti 3,katika viwanja vya Chang'ombe,Jijini Dar es Salaam.Globu ya Jamii kwa kushirikiama na Michuzi Media Group wamejitosa kudhamini Shindano hilo,ambapo watatoa zawadi nono kwa mrembo atakaeshita taji la Miss Photogenic.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Warembo murembeke lakini mjipange pia kimaendeleo kwa kuwa na mitandao ya kuinuana kiuwekezaji msizubae.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...