Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band yenye makao yake kule Ujerumani,inatoa salam maalumu za sikuu ya nane nane kwa wadau wote walio nyumbani Tanzania na nje. Sikuu kuu ya nane nane ambayo mwaka huu 2014 inafanyika kitaifa mkoani Lindi. Kikosi cha Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni kinawatakia kila la heri na baraka katika Nane Nane oyeeee!!!! Usikose kupata burudani at http://www.ngoma-africa.com au www.ngoma-africa.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kikosi maalumu cha kuziwa ghasia nje ya mipaka ya tanzania ! sio mchezo wachizani wakipewaga amri tu wanakipaka

    ReplyDelete
  2. wakuu wa kazi ze fanya fujo uone ughaibuni na mnafanya mavitu yenu
    inaonekena hapo atumwi mtoto barua oh mpeleke afande jukwaani

    ReplyDelete
  3. te! te! watoto wa mbwa bin viumbe wa ajabu ffu kazi kweli ipo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...