VIWANJA HIVI VIPO KIGAMBONI,KATA YA PEMBA MNAZI,MTAA WA MUHIMBILI (TANDAI CENTER),VIPO UMBALI WA MITA 600 - 700 KUTOKA BARABARA KUU NI VIWANJA VILIVYOPIMWA.
KWA MAELEZO ZAIDI JUU YA VIWANJA HIVYO,WASILIANA NA NDG. JAMES MPAYO KWA NAMBA HIZO HAPO CHINI.
0784 207877 NA 0754 780878
PIA UNAWEZA KUMTUMIA EMAIL:
JMPAYO@OVI.COM
Viko kigamboni gani njia ipi ya mwasonga? Maana kigamboni kubwa
ReplyDeleteumeshaambiwa vipo pemba mnazi, ss unauliza kigamboni gani ndiyo nn uwelewi kaka? kigamboni wala sio kubwa, kigamboni ni ndogo sana ni pale kivukoni tu.
ReplyDeleteSquare meter moja shilingi ngap?
ReplyDelete