Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Dar es Salaam imemzuia msanii kutoka Nigeria, Adedeji Adelek maarufu kama ‘Davido’ kuperform katika tamasha la Fiesta linaloandaliwa na Clouds Fm na Prime Promotion, October 18,2014.
Amri hiyo imetolewa jana (October 17) na hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu , mheshimiwa D. Kisoka kufuatia maombi ya dharura yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Times Fm Radio na Times Fm Promotion. Kwa habari kamili BOFYA HAPA
Tanzania needs to stop bringing people from west Africa because of Ebola
ReplyDeleteAme perform wala hakuna hata askari aliyesema nini wala nini..chezeya Bongo weye..
ReplyDelete