Meneja Uhusiano wa Jamii Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam
(DAWASA) Bi. Nelly Msuya (wa kwanza kulia) akiwaongoza waandishi wa habari
na kujionea sehemu utakapojengwa mtambo wa kuzailsha gesi na zinapojengwa
maabara katika shule ya sekondari Manzese. Kushoto ni Meneja wa Mradi wa
ujenzi wa mtambo wa nishati endelevu inayohifadhi mazingira (Biogas) kutoka
UN-HABITAT Phillemon Mutashubirwa.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Manzese wakishiriki kuandaa eneo
utakapojengwa mtambo wa kuzailsha gesi shuleni hapo.
Baadhi wa wananchi wa mtaa wa Chakula bora wakifanya usafi kuzunguka
maeneo ya shule ya sekondari Manzese.
(Picha zote na Eleuteri Mangi –MAELEZO)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...