Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) mstaafu, Jenerali George Mwita Waitara akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Magdalena Petro Magige.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Magdalena Petro Magige kilichotokea tarehe 19 Aprili 2015, jijini Dar es salaam.
 Mzee Galius Abeid akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Magdalena Petro Magige.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifunga jeneza la marehemu Magdalena Petro Magige.
 Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Magdalena Petro Magige likiteremshwa kutoka kwenye gari tayari kwa kutoa heshima ya mwisho kabla ya safari ya kwenda kuupumzisha kijiji cha Kamange,Tarime mkani Mara.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...