Wakili Sambwee Shitambala akizungumza jambo na baadhi ya wadau na wasanii wa muziki wa Kizazi kipya mkoa wa Mbeya katika tafrija iliyo fanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Gorden City hotel, uliopo eneo la Sae
na hii ni baada ya kuzindua albamu ya msanii berdon mnyama iendayo kwa
jina la "Jionee",iliyo sapotiwa na media mbali mbali ikiwemo vituo vya
radio zote za jiji la mbeya sambamba na Michuzi Media Group.picha na
Fadhili Atick (Mr.Pengo) Globu ya Jamii, Mbeya.
Msanii
anae fanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya Jijini Mbeya,
Berdon Mnyama ambae ndie alie zindua albamu yake hivi karibuni iendayo
kwa jina la Jionee akizungumza na baadhi ya wadau na wasanii wa muziki
wa kizazi kipya katika hafra hiyo iliyofanyika hivi karibuni jijini
mbeya.
Wakili
Sambwe Shitambala (shoto) akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa
wasanii Berdon Mnyama na Petronia kwa lengo la kumpongeza kwa kazi kubwa
anayo ifanya juu ya kudhamini na kuwajali vijana hususani wasanii katika tasnia mbalimbali mkoani mbeya.
baadhi ya wasanii na wadau wa sanaa walio hudhuria katika hafra hiyo iliyo fanyika hivi karibun jijini mbeya.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...