
Joe Mantegna na Gary Sinise kwenye gari la Pili kushoto wakiwa katika ufunguzi wa Sherehe za National Memorial Day Parade Siku ya Jumatatu May 25, 2015 Jijini Washington DC. (Picha zote na Swahilivilla.Blog)
Cheif wa Swahilivilla Abou Shatry Swahilivilla akisalimiana na kamanda wa Naval Wilaya Washington DC, Adm. Markham K. Rich, baada ya gwaride la kitaifa kwaajili kuwapongeza mashujaa wa Marekani
Cheif wa Swahilivilla Abou Shatry alipoungana na Mamia ya wananchi waliokusanyika katika jengo la National Archives North Side, Washington, D.C. kuangalia gwaride la kitaifa kwaajili ya mashujaa wa Marekani, Siku ya Jumatatu May 25, 2015 katika barabara ya Pennsylvania Avenue Jijini Washington D.C
Mami ya wananchi waliokusanyika kuangalia National Parade honors American heroes. katika jengo la National Archives North Side, liliopo barabara Pennsylvania Avenue Jijini Washington DC
Baadhi ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali wakusanyika kuangalia gwaride la kitaifa kwaajili ya mashujaa wa Marekan Parade katika jengo la National Archives North Side, liliopo barabara Pennsylvania Avenue Jijini Washington DC.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...