Sehemu ya Mabalozi wakifuatilia hotuba ya ufunguzi ya Mhe. Rais Kikwete (hayupo pichani).![]() |
Wajumbe wengine wakiwemo Wakuu wa Vitengo katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakifutilia hotuba ya Mhe. Rais Kikwete ambaye haonekani pichani.Picha na Reginald Philip. HABARI ZAIDI BOFYA HAPA |
Hongera sana Rais kwa kuaga mapema. Wakati ukiwaaga mabalozi ngoja tukumbushana mambo muhimu.
ReplyDeleteRais ajaye atueleze atawezaje kukuza uchumi bila kuendelea kukopa zaidi. Maana msemo wa bado tunakopesheka utatufanya tuwe kama ugiriki. Tusisubiri kufika huko. Tuchukue hatua mapema. Rais ajaye atueleze atalipaje madeni, hiyo ela ataipata wapi na kwa njia zipi. Atakusanyaje kodi. Ataongezaje vyanzo vya kodi. Kama anasema atakuza uchumi na kusomesha watu bure hiyo ela ataipata wapi? Waheshimiwa nawatakia utumishi uliotukuka.