Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama akifafanua
jambo kwa waandishi wa habari(Hawapo pichani)wakati wa kuendeleza
kampeni
ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema” kupitia namba
0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni
bure kwa wateja wa Vodacom.Kampeni hiyo
inayoendeshwa na jeshi la polisi kikosi cha Usalama barabarani,Vodacom Tanzania na vyombo vya habari vya ITV/Radio one
ilifanyika katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza.
Mkuu
wa jeshi la polisi kikosi cha Usalama
Barabarani Mkoa wa Mwanza Kamanda Mohamed Likwata akiwapatia maelezo
baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Mwanza kwenda Bukoba
kuhusiana na
kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”kupitia namba
0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni
bure kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Kampeni
hiyo
inaendeshwa na jeshi la polisi kikosi cha Usalama barabarani kwa
kushirikiana na Vodacom Tanzania na Vyombo vya habari vya ITV/Radio one ilifanyika
katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza.
Abiria
Aaron Yuda Mkazi wa jijini Mwanza(kushoto)aliyekuwa akisubiria basi la
kwenda Bukoba akimfafanulia jambo maofisa wa jeshi la polisi kikosi cha
Usalama
Barabarani mkoani humo wakati wa zoezi la kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”kupitia
namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni
bure kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Kampeni
hiyo inaendeshwa na jeshi la polisi kikosi cha Usalama barabarani kwa
kushirikiana na Vodacom Tanzania na Vyombo vya habari vya ITV/Radio one
ilifanyika katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini humo.
Baadhi ya abiria wakiwa tayari kwa safari yao ya kwenda Bukoba mkoa wa Kagera kutoka Jijini Mwanza baada ya kupatiwa elimu
na
jeshi la polisi kikosi cha Usalama barabarani kwa kushirikiana na
Vodacom Tanzania na Vyombo vya habari vya ITV/Radio one kuhusiana na
kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”kupitia namba
0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni
bure kwa wateja wa Vodacom Tanzania.Kampeni
hiyo ilifanyika katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini humo.
MADEREVA NA ABIRIA WOTE WA MABASI YANAYOENDA MIKOANI INABIDI WAFUNGE MIKANDA, PERIOD.
ReplyDelete