Wiki chache zilizopita, yaani Tarehe
6 JULY, 2015 mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu ya jijini Dar es salaam ilitoa hukumu
katika kesi maarufu na ya muda
mrefu iliyokuwa ikiwakabili
mawaziri wa zamani
wawili na katibu
mkuu mmoja.
Blog hii iliripoti kwa
ufupi matokeo ya kesi
hiyo na kuahidi
kutoa ufafanuzi wa
kitaalam hapo baadae
kupitia wanasheria wake.
Kwa kuwa GLOBU YA JAMII imekuwa
mstari wa mbele
kueleza masuala ya
msingi ya kijamii yakiwemo yale
ya kisheria ambayo
hayapatikani mitandao
mingine ya kijamii, imeona ni muhimu kuufafanulia umma nini kilitokea katika kesi
hii ya kihistoria mwanzo hadi mwisho. Kuendelea kusoma BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...