.Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Tabata ya jijini
Dar es Salaam,Tumaini Kabuta akikabidhiwa msaada wa madawati 100 na Meneja
Biashara wa Benki ya KCB Tanzania, Tawi la Mlimani City, Benjamin Mgonja(kushoto)
wakati wa hafla fupi iliyofanyika shuleni hapo.Benki hiyo imetoa msaada wa
matawati 1000 kwa shule kumi za jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya KCB Tanzania
wakiwa kwenye picha ya pamoja na walimu wa shule ya msingi Tabata.Wakati wa
hafla ya kukabidhiwa msaada wa madawati
100 na Benki hiyo jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...