Jina: Muhdini Ally Kature

Miaka: 12, mweupe 

Kawaida anaishi na babu mzaa mama yake kijiji cha Kikore wilayani Babati Mkoa wa Manyara. Anasoma Kikore shule ya Msingi darasa la saba.
Alitoweka nyumbani kwa babu yake tarehe 16/10/2015, mida ya saa nane mchana akiaga anaelekea sokoni.

Atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi kilicho karibu nae au piga simu 0717924389 (Asha Mlei – Mama Mzazi; CCBRT, DSM)/0683075536 (Mzee Ally Kature Ally – Babu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mtoto kupote siku 12 ni nyingi sana, hopefully atapatikana salama bin salimini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...