
Mke wa Mbunge Mteule Bi Sarah Abdallah akitoa shukrani kwa wananchi wa kata ya Choma kwa kazi nzuri waliyoifanya.

Mbunge mteule katika Jimbo la Manonga wilaya ya Igunga mkoani Tabora , Seif Khamis Gulamali (CCM) akiwapungia mkono pamoja na kuwashukuru wananchi wa kata ya Mwashiku kwa kuonesha upendo wa dhati baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo ilo

Hakika ilikuwa ni siku ya furaha kwa wakazi wa jimbo la Manonga.
Sio sahihi kusema mbunge au rais mteule kwa sababu hawakuteuliwa bali wamechaguliwa kwa kura.mteule ni yule anaeteuliwa au kuchaguliwa bila ya kupigiwa kura
ReplyDelete