Wakaguzi toka ndani na nje na taasisi za serikali wafurahishwa na mafunzo waliyopatiwa kwani yataongeza tija katika kazi zao za ukaguzi.https://youtu.be/htloKTOxl3M
Mkuu wa wilaya ya Arusha awataka wakazi wa wilaya hiyo kuzingatia kanuni za afya ili kujikinga na kukomesha ugonjwa wa kipindupindu. https://youtu.be/OKiKkXELLFI
Mkurugenzi wa hidhi za taifa hapa nchini asema TANAPA itaendelea na jitihada za kupambana na ujangili nchini ili kendeleza uhifadhi nchini.https://youtu.be/Q2OlWtUqnlk
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...