Katibu Mkuu wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akizungumza na washiriki
wa Mafunzo ya awali kwa Watumishi wa Mkataba wa Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi(hawapo pichani),wakati alipofungua mafunzo hayo yenye lengo la
kuwajengea uwezo watumishi wapya, katika ukumbi wa mikutano wizarani
hapo,jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Numbilya Mpolo.
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil akizungumza na washiriki
wa Mafunzo ya awali kwa Watumishi wa Mkataba wa Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi wakati alipofungua mafunzo hayo yenye lengo la kuwajengea uwezo
watumishi wapya, katika ukumbi wa mikutano wa wizara, jijini Dar es
Salaam.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara
ya Huduma kwa Wakimbizi, Numbilya Mpolo, kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya
Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
wa Wizara hiyo, Lilian Mapfa .
Washiriki wa Mafunzo ya
awali kwa Watumishi wa Mkataba wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, wakimsikiliza
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil(hayupo
pichani), wakati alipofungua mafunzo hayo katika ukumbi wa mikutano wizarani
hapo,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya
Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lilian Mapfa, akizungumza na washiriki wa
Mafunzo ya awali kwa Watumishi wa Mkataba wa Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi(hawapo pichani),kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Utawala
na Usimamizi wa Idara ya Wakimbizi, Deusdedit Masusu.
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil(watatu kutoka kushoto), akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa Mafunzo ya awali kwa Watumishi wa
Mkataba wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, muda mfupi baada ya kufungua mafunzo
hayo katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam wanne kutoka kushoto ni
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa
Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Lilian Mapfa na wa pili kushoto ni Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi, Numbilya Mpolo .(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi,MOHA).Imeandaliwa
na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali-Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...