Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange (kulia), Mkuu wa Brigedi ya Chui, Brigedia
Jenerali Sharif Othman (kushoto) pamoja na Maafisa na Askari wakishiriki zoezi la usafi katika kambi ya
Lugalo, jijini Dar es Salaami wakati wa kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru kama alivyoagiza Rais na Amiri
Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
Home
Unlabelled
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi alivyoshiriki zoezi la usafi Lugalo, Jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...