Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu
(kulia) akikabidhiwa rasimi Taarifa ya Utekelezaji wa Wizara kwa Kipindi cha
Mwaka 2005-2015 kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na
Watoto Mhe. Sophia M. Simba (Mb) eneo la Magogoni Dar es salaam leo tarehe
8/1/2016.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu (kulia) akisikiliza kwa makini maneno
machache kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Mhe. Sophia M. Simba (Mb) eneo la Magogoni Dar es salaam leo tarehe 8/1/2016.
Waziri wa
Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu (kulia)
akitoa shukrani za dhati baada ya kukabidhiwa rasmi Taarifa ya
Utekelezaji wa Wizara kwa Kipindi cha Mwaka 2005-2015 kutoka kwa aliyekuwa
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Sophia M. Simba (Mb) eneo
la Magogoni Dar es salaam leo tarehe 8/1/2016.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.
Ummy A. Mwalimu (kulia) pamoja na aliyekuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii,
Jinsia na Watoto Mhe. Sophia M. Simba (Mb) ,Kaimu katibu Mkuu Bwana Marcel
Katemba pamoja na Wakurugenzi wengine kwenye makabidhiano yaliyo fanyika leo
Jijini Daressalaam leo tarehe8/1/2016.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...