Manamke ambaye jinalake halikupatikana mara moja akiwa amekaa juu ya paa la majengo ya Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es Salaam leo.
Mwanamke huyo akizungumza na watu waliokusanyika ikiwa alikuwa hasikiki vizuri maneno aliyokua akiongea kutokana na wananchi waliokusanyika kumuuliza maswali mengi kwa wakati mmoja.
Polisi akiwa pembeni ya uzio wa majengo ya wizara ya fedha na mipango mara baada ya mwanamke huyo alipokuwa juu ya paa la nyumba hizo, ikiwa haikujulikana mwanamke huyo hatukujua anadhamira gani ya kupanda juu ya paa la majengo hayo. Baada ya muda wafanyakazi wa wizara hiyo kumwekea ngazi na kumshusha ili kumhoji zaidi nini kimemfanya apande juu ya paa la majengo hayo.
MWANGA WA MCHANA HUYO , HAPO PAGUMU SIO LEGE LEGE HAPO WAMEKAA WANAUME WA SHOKA
ReplyDeleteHuyo sio mwanga jana asubuhi nilimpita nje ya uzio wa hazina akiwa anahubiri neno la mungu ila akili yake kama haiko sawa
DeleteBongo utasikia ameanguka na ungo, mara padri mangungu wa kanisa gani sijui alimwombea.
ReplyDeleteSio mwanga jana nilimkuta hapo nje ya uzio wa hazina akiwa na vifurushi vingi anahubir neno la mungu ila akili yake kama haiko sawa hivi
Deleteahahaha huyo atakuwa alikuwa ameenda kuomba mkopo au kuomba kulipwa arrears zake.
ReplyDeleteHuyo mwanamke nilimpita hapo mida ya saa 6 akiwa nje y uzio wa hazina chini ya hilo paa akiwa anahubiri neno la mungu ila akil yake ilikua kama haipo sawa
ReplyDelete