Mfanyabishara mkubwa wa Chocolate duniani na
mmiliki wa Kampuni ya kutengeneza Chocolate nchini Italia, ya SILVIO BESSONO Bw
SILVIO BESSONO aikimzawadia Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Prof Audax
Mabula bidhaa zinazotengenezwa na kampuni yake.
Bw SILVIO BESSONO akifafanuliwa jambo kwenye ukumbi wa historia na
mratibu wa safari yake hapa nchini Bi Judith R. Mayuu baada ya kupata maelezo
kutoka kwa mtaalam wa Makubusho Bw Frank aliopo kushoto.
Bw SILVIO BESSONO akipokea maelezo kutoka kwa mtaalam wa Makumbusho Dr Amandus
Kweka juu ya fuvu la mwanadamu wa kale alie ishi miaka zaidi milioni 1.7
iliyopita ajulikanae kama Zinjanthropus lililopatikana huko ngorongoro Oldvuvai
mwaka 1975
Bw SILVIO BESSONO akisikiliza kwa makini
maelezo ya mtaalam wa Makumbusho ya Taifa Dr Agnes Gidna juu ya hifadhi ya masalia
ya mifupa ya wanyama wa kihistoria walioishi
takribani miaka 1.8 iliyopita.
Bw SILVIO BESSONO mwenye shati jeupe na
ujumbe wake wakitembezwa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni, kulia mwanzoni ni
Mkurugenzi wa Makumbusho hiyo Bw Achiles Bufure na kushoto ni Mkuu wa Idara ya
Mikusanyo ya Makumbusho hiyo Bw Jackson Washa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...