Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Peter Kallaghe (waliokaa kati), Kaimu Balozi Bwana Msafiri Marwa (walio kaa kushoto), Mke wa Balozi, mama Joyce Kallaghe, wakiwa kwenye picha ya pamoja na Wafanyakazi wenyeji wa Ubalozi, kabla ya hafla fupi ya kumuaga Balozi Kallaghe iliyofanyika katika Ofisi za Ubalozi huo, London - Uingereza
Mheshimiwa Balozi Kallaghe, Kaimu Balozi, Bwana Msafiri Marwa na Mama Joyce Kallaghe, wakiwa kwenye picha ya pamoja na Maofisa wa Ubalozi, kwenye hafla fupi ya kumuaga Mheshimiwa Balozi Peter Kallaghe, jana tarehe 24 Februari 2016
Kaimu Balozi, Bwana Msafiri Marwa, akimkabidhi zawadi Mhe. Balozi Kallaghe, zawadi kutoka kwa Wafanyakazi wa Ubalozi
Mama Frida Turuka, akimkabidhi zawadi mama Joyce Kallaghe, mke wa Mhe. Balozi Kallaghe, zawadi kutoka kwa Wafanyakazi wa Ubalozi.
Picha na Ally Dilunga Rashid
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...