Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ilemala Sweetbert Kisha akikata utembe kuzindua duka jipya la Airtel Airtel lililopo ndani ya Rockcity shopping Mall jijini Mwanza, akishuhudia Mkurugenzi wa kitengo cha huduma kwa wateja Airtel, Adriana Lyamba.
Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ilemala , Sweetbert Kisha na Mkurugenzi wa kitengo cha huduma kwa wateja Airtel, Adriana Lyamba wakikata keki kwa pamoja wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Airtel lililopo ndani ya Rockcity shopping Mall jijini Mwanza, akishuhudia (kuli) ni wakala Mkuu wa Airtel Money Mwanza, Mohamed Gichani.
Mkurugenzi wa kitengo cha huduma kwa wateja Airtel, Adriana Lyamba akitoa maelezo kwa Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ilemala , Sweetbert Kisha kuhusu huduma ya Airtel Money inayotelewa katika duka jipya la Airtel wakati uzinduzi wa duka jipya la Airtel lililopo ndani ya Rockcity shopping Mall jijini Mwanza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...