Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la wawakilishi Dr.Shein aapishwa kuongoza kipindi cha 2 huku akiahidi mabadiliko makubwa. https://youtu.be/JMpvDsQsTcQ
Hatimaye zoezi la kubomoa jengo la ghorofa 16 lilijengwa kinyume cha sheria lililoko Manispaa ya Ilala lakamilika kabla ya wakati huku likikamilika bila madhara yeyote.https://youtu.be/javHgG-rBBI
Rais John Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia ikulu jijini Dar es salaam. https://youtu.be/plB-sT1WS54
Wakazi wa kijiji cha Msimbati viliko visima vya gesi mkoani Mtwara wazuia kwa muda msafara wa kamati ya bunge ya nishati na madini wakilalamikia kutonufaika na uwepo wa gesi uliopo kwenye maeneo yao. https://youtu.be/bVaQVnj5v7c
Waziri wa mali asili na utalii Jumanne Maghembe atumbua majipu kadhaa kwa tuhuma za kuisababishia serikali hasara. https://youtu.be/bqdvb0ajXeY
Rais wa Zanzibar aapishwa hii leo kutumikia kipindi kingine cha miaka 5 huku akiahidi kufanya kazi kwa maslahi ya wananchi wote. https://youtu.be/_O2FqStivBQ
Askofu mkuu wa jimbo kuu Katoliki jijini Mwanza awapongeza wananchi wa Zanzibar kwa kumaliza salama uchaguzi wa marudio wa Zanzibar huku akiwasihi kuondoa tofauti zao. https://youtu.be/G7YkHrGv0Mc
Jeshi la polisi Mkoani Kilimanjaro linawashikilia raia wawili wa Uholanzi kwa tuhuma za kutaka kusafirisha tumbili 61 kwenda nchini Armenia. https://youtu.be/JS9KiKxeJ_k
Mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF washauriwa kubuni njia mbadala katika kusaidia kaya maskini badala ya kuendelea na mfumo uliopo hivi sasa wa uhawilishaji wa fedha.https://youtu.be/b0JTqhgt2LI
Timu ya Azam Fc imeingia kambini kujiandaa na michezo mbalimbali ya kitaifa na kimataifa huku ikibainisha matumaini ya kutwaa ubingwa. http://simu.tv/kFrJ33S
Baada ya Taifa Stars kuibuka na ushindi dhidi ya Chad wadau mbalimbali watoa maoni yao juu ya mwenendo na molari ya timu hiyo. http://simu.tv/MvIYBaC
Klabu ya Leicester City imeanza kuchanja mbunga kimataifa baada ya kupangiwa kutifuana na vilabu vikubwa ikiwemo Barcelona na PSG. http://simu.tv/NJpLODo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...