Spika wa Zambia Mhe. Patrick Matibini akifungua Mkutano wa Wabunge Vijana kutoka Mabunge yote Duniani unaofanyika sambamba na Mkutano wa 134 wa Umoja wa Mabunge Duniani ( 34th Inter- Parliamentary Union) unofanyika Lusaka Nchini Zambia wiki hii.
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Tanzania Mhe. Aysharose Matembe akifuatilia kwa makini ufunguzi wa Mkutano wa Wabunge Vijana kutoka Mabunge yote Duniani unaofanyika sambamba na Mkutano wa 134 wa Umoja wa Mabunge Duniani ( 34th Inter- Parliamentary Union) unofanyika Lusaka Nchini Zambia wiki hii.
Wabunge Vijana kutoka Nchi Mbalimbali wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa Mkutano wa Wabunge Vijana kutoka Mabungu yote Duniani unaofanyika sambamba na Mkutano wa 134 wa Umoja wa Mabunge Duniani ( 34th Inter- Parliamentary Union) unofanyika Lusaka Nchini Zambia wiki hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...