Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Onorius Njole, akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Kisheria wa usimamizi na udhibiti wa hifadhi ya Jamii Tanzania wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Tafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi, akiwasilisha mada hiyo wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...