![]() | |
Afisa kutoka kampuni ya Push Mobile Bw. Abdi Zagar akitoa mada kuhusu huduma mpya ya upashaji habari kwa njia ya simu za mkononi iitwayo SIMU TV kwenye kikao kazi cha maafisa habari na mawasiliano serikalini katika ukumbi wa VETA mkoani Morogoro leo Machi 17, 2016
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...