Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe akiongea na Balozi wa Sweden (mwenye suti nyekundu) alipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kubadilishana mawazo kuhusu sekta ya sheria leo (9/3/2016) jijini Dar Es Salaam. Mwenye suti ya bluu upande wa kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon mpanju.
Balozi wa Sweden nchini Tanzania Bi. Katarina Rangnitt akisisitiza jambo wakati akiongea na Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Harisson Mwakyembe alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...