Paschal Lugali, mfanyakazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Meatu akipanga miche ya miti ya matunda mapema leo, ikiwa ni ahadi ya serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira
 Afisa Misitu Mwandamizi kutoka Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Raisi bw. George Kafumu akiangalia miche ya miti ya matunda baada ya kuiwasilisha katika Halmashauri ya Wilaya ya Meatu mapema Leo.
 Miche ya miti ya matunda, ikiwa imepangwa baada ya kupokelewa mapema Leo katika halmashauribya wilaya ya Meatu,baada ya serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira kutekeleza ahadi yake ya kugawa miti elfu ishirini na saba (27,000) Katika mkoa wa Simiyu. 

Baadhi ya wakazi wa jimbo la kisesa mkoani Simiyu katika picha pamoja na miche ya miti ya matunda waliyo ipokea kutoka serikalini kupitia Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira 
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu wakishusha miti ya Matunda kutoka kwenye gari iliyoibeba mapema leo, miti hiyo waliahidiwa na Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.(Picha na kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Makamu wa Raisi)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...