Kekizz ya Besdei ya kuzaliwa Ankal Suzana John Badi.
Ankal Suzana John Badi akikata keki wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi iliyipita. PICHA ZOTE/DAILY MITIKASI BLOG
Mtoto Suzana John Badi akimlisha keki mama yake Elizabeth, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi.
Mtoto Suzana John Badi akimlisha keki Baba yake John Badi, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...