Mkuu wa Takukuru wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro, Eufrasia Kayombo ( kushoto) akisaini hati ya uzinduzi wa klabu ya wapinga rushwa Twikale wose , Lugono kilichopo wilaya ya Mvomero.
 Mkuu wa wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro, Betty Mkwasa akiwa ameushika Mwenge wa Uhuru , baaada ya kukabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Muhingo Rweyemamu ( hayupo pichani).
 Mkuu wa wilaya ya Ulanga, mkoa wa Morogoro, Christina Mndeme, ( kulia) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru mkuu wa wilaya ya Kilombero, Lephy Gembe ( kushoto),kuanza mbio zake Aprili 22, 2016
Wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa , wakitoka  kuweka  jiwe la msingi jengo la kuhifadhia dawa na vifaa tiba katika hospitali ya wilaya ya Ulanga.
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii nimependa sana kwani watu hawa huwa wanasahauliwa sana kwa namna zote. Pia ingekuwa vizuri kama walemavu hawa wangekuwa wanapataiwa nafasi za kazi ambazo ziko ndani ya uwezo wao... maana wao pia ni watu kama sisi.

    ReplyDelete
  2. Duh akina ras makunja wapo gado kweli katika kuakikisha sebene la mwenge linaenda sawa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...