Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni alipokuwa akizindua Group la G1 Mapinduzi Kwanza ambalo linakusanya Vijana wa CCM pamoja na Viongozi mbali mbali ,uzinduzi huo umefanyika leo katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa,wengine (kulia) ni Mwenyekiti wa Group Abdalla Maulid Diwani Mwakilishi wa Jimbo la Jangombe,(kushoto) Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd Bw.Brian Thomson na Bi Naila Jidawi.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Mhe,Borafya Silima akitoa shukurani wa Kundi la G1 Mapinduzi Kwanza wakati wa uzinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni akimkabidhi Mdeli wa kahawa ulitengenezwa kwa Shaba Nd,Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Abdulkhafar Idrissa alioununua kwa njia ya mnada wa kuchangia kundi kiasi ya shilingi za kitanznia Millioni Tano,wakati wa Uzinduzi wa Group la G1 Mapinduzi Kwanza katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa leo.
Mshika fedha wa Group la G1 Zubeda Khamis Shaib akipokea cheki ya Shillingi Millioni Mbili za Kitanzania kutoka kwa Mzee Haji Nyanya wakati wa kuchangia Group hilo sambamba na sherehe za Uzinduzi wa uliofanywa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni (hayupi pichani)katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...