SIMU.TV: Wanakijiji Zanzibar wakumbwa na taharuki baada ya nyumba 9 kuungua na moto katika mazingira ya kutatanisha; https://youtu.be/pI2eAA1LiyE
SIMU.TV: Waziri January Makamba ameeleza kuw a zinahitajika takribani Dola za Kimarekani milioni 95 ili kukamilisha miradi mikubwa mitano ya mazingira;https://youtu.be/2QRT1C07_2M
SIMU.TV: Wananchi Kilwa wasimamisha msafara wa waziri mkuu Kassim Majaliwa na kumueleza kero zinazowakumba katika maeneo yao; https://youtu.be/Ojx8Ow0u5X4
SIMU.TV: Wafanyakazi katika vitengo vya huduma kwa wateja waanza kunufaika kufuatia agizo la serikali kuhusu ajira hizo; https://youtu.be/pwGEx8IVEGc
SIMU.TV: Serikali imeombwa kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika ili kuwezesha uzalishaji katika viwanda; https://youtu.be/Na94lIGvV8A
SIMU.TV: Jimbo kuu Katoliki Dodoma lapata pigo baada ya askofu mkuu mstaafu Mathiasi kufariki dunia akiwa na umri wa miaka 75; https://youtu.be/06jj4nz77E4
SIMU.TV: Mh.Nape afanya ziara ya kushtukiza uwanja wa taifa na kuamuru kusitishwa kwa kiwanda kinachofanya shughuli zake ndani ya uwanja;https://youtu.be/CKs9tBXgW7M
SIMU.TV: Michuano ya ligi kuu Uingereza kuendelea kurindima usiku wa leo katika viwanja mbalimbali; https://youtu.be/hB2AZ_txg-8
SIMU.TV: Mh. Samia Suluhu awaahidi wawekezaji kuwa Tanzania itaweka mazingira bora ya uwekezaji ili kuongeza kasi ya ukuzaji wa uchumi;https://youtu.be/UjKydVMsEo4
SIMU.TV: Serikali wilayani Njombe yapigana vikumbo na makampuni ya upandaji miti katika kuendeleza kilimo cha misitu; https://youtu.be/2RtYzZdj5Jk
SIMU.TV: Rais Magufuli apokea hati ya utambulisho wa mabalozi 3 wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini; https://youtu.be/rgClFYqTTJE
SIMU.TV: Mh. Said Kubenea afungwa kifungo cha nje kwa miezi 3 kwa kutumia lugha chafu na matusi kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni;https://youtu.be/__GG_wncONQ
SIMU.TV: Soko kuu la Kayanga wilayani Karagwe lapata hasara ya bilioni 1.4 baada ya sehemu kubwa ya soko hilo kuteketea na moto; https://youtu.be/cI3NTi-L68s
SIMU.TV: Naibu waziri Mh.Kijaji ameeleza kuwa taifa limepata maendeleo makubwa kwa kutumia mfumo kidijiti kuhamisha fedha; https://youtu.be/eICAeq1pSAQ
SIMU.TV: Mkutano wa siku 2 wa biashara endelevu barani Afrika kuanza kesho jijini Dar es salaam; https://youtu.be/6U1POmwY6zA
SIMU.TV: Mabingwa watetezi Yanga wazidi kuikaba koo Simba baada ya kuchomoza kwa bao 2 kwa 1 dhidi ya Mwadui Fc; https://youtu.be/djvBrC5YZgI
SIMU.TV: Nguli wa mchezo wa kikapu nchini Marekani Kobe Bryants kucheza mchezo wake wa mwisho leo hii; https://youtu.be/IwnV0uj4-2M
SIMU.TV: Waziri wa biashara, viwanda na masoko Zanzibar Mh.Amina Salum akabidhiwa rasmi ofisi na kuwataka watumishi kumpa ushirikiano; https://youtu.be/hXGqFvJGwAg
SIMU.TV: Timu ya Yanga na Azam FC zala viporo vya mechi zao zilizokuwa zimebaki katika michuano ya ligi kuu Tanzania bara; https://youtu.be/FQgNbU-FyVM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...