Taarifa iliyotufikia hivi punde, inaeleza kuwa, Mbunge wetu wa Viti Maalum na Dada wa Mh. Tundu Lissu, Mh. Christina Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Kansa tangu mwaka jana. 

Mungu aiweke roho Marehemu Mahala pema peponi 

Amin.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Poleni sana familia ya Mhe Lissu. Hapa hakuna chama wala itikadi sote tu wapoja. Again polei san. May the good lord console all of you and may the soul of the departed rest in eternal peace

    ReplyDelete
  2. RIP dada Christina

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...