Home
Unlabelled
TUSIPOCHUKUA HATUA HAKUNA SABABU YA SISI KUITWA VIONGOZI-RAIS DKT MAGUFULI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
The mdudu, ni kweli kabisa waandishi wa habari mjiangalie kwa jicho la 3 kumbukeni nyie ni watanzania na nikio cha jamii so mnapo andika kwa ushabiki au kushabikia kwa kunyimwa MISAADA yenye mashart ya ajabu ajabu huo ni ujinga na uhaini kwenye nchi yako ndio maana zinapo kujaga tuzo za kama vile CNN, Arjazira, BBC huwa mna chemshaga vibaya sana coz hamna jipya mituzo yote huwendaga West Africa na Southen Africa muweke uzalendo mbele na kuipigania Tanzania yetu kuitetea kisawasawa kama mnavyo zitetea family zenu yaani maneno mazuri yote anayo kuambieni rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli lakini wapi masikini ya mungu kama mmerogwa loh aibu aibu kwenu amkeni amkeni kwenye usingizi mzito
ReplyDeleteMdau wa mwanzo hapo juu umeelezea la maana sana, nadhani huwa wanajisahau na kuusahau usemi wa wahenga usemao..."fakhari ni MAMA WA UJINGA". Kwani wamekuwa wakirubunika kwa hivyo vijisenti viwili vitatu kama alivyoelezea hapo Mh. Rais wetu, hali ambayo hupelekea kukiuka kwa maadili, taratibu na taaluma nzima ya kiuandishi. Hii ni awamu ya Tano, haina cha msalie jamani, hivyo tuwe makini na majukumu yetu, khususan nyie waandishi na khasa kwa khabari zenu mnazoziandika. Fanyeni kazi yenu kwa kuwa na uhakika na umakini wa jambo, isiwe almuradi mmepata mauzo ya siku, la khasha!.
ReplyDeletehiyo ni kweli
ReplyDelete