Mkurugenzi wa Huduma Mbadala za Kibenki katika Benki ya CRDB, Dr. Joseph Witts,  akizungumza wakati wa semina ya uelimishaji matumizi ya Benki Mtandao, (Internete Banking) kwa wateja wakubwa wa Benki ya CRDB kutoka matawi manne ya CRDB, ya Holland House, CRDB Tower, CRDB Azikiwe na CRDB Azikiwe Primier, uliofanyika mwanzoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena hapa jijini Dar es salaam.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Mangire Kibanda (aliye simama kushoto) akizungumza wakati wa semina ya uelimishaji matumizi ya Benki Mtandao, (Internete Banking) kwa wateja wakubwa wa Benki ya CRDB kutoka matawi manne ya CRDB, ya Holland House, CRDB Tower, CRDB Azikiwe na CRDB Azikiwe Primier, uliofanyika mwanzoni mwa wiki kwenye hoteli ya Serena hapa jijini Dar es salaam.

Watanzania haswa wateja wa Benki ya CRDB,  wamehimizwa kutumia huduma ya kibenki Internate Banking inayotolewa na benki ya CRDB ambapo mteja wa CRDB bank hana tena haja ya kwenda benki ili kupata huduma za kibenki bali sasa anaweza kupata huduma zote za kibenki mahali popote alipo kupitia mtandao wa internate.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...