Hayati Mwalimu Michael Kapaya Kayila

Sasa ni miaka 16 tangu Baba yetu mpendwa Michael Kapaya Kayila ulipotutoka tarehe 15 Aprili 2000 saa 1.30 asubuhi katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama na kumfuata Mama yetu mpendwa Martha Nyamvula Lugenzi, aliyekutangulia tarehe 27 Desemba 1990 saa 9 usiku. 

Tunawakumbuka sisi watoto wenu tuliosalia Aurelia, Patrick, Grace, Mateo, na William.

Wajukuu zenu pia wanawakumbuka. Tunamshukuru sana Mungu kutupa nguvu na ujasiri wa kuendelea kuishi kwa upendo na mshikamano. Mwenyezi Mungu awaangazie raha za milele.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...