
Pichani pili kulia ni Mhe. Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene,Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela na Katibu wa CCM Ndugu Mtaturu (kulia),wakiwa kwenye kivuko akitokea Mkoani Mwanza kuelekea Mkoani Geita kwenye ziara ya kikazi leo hii.

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene wakijadiliana jambo .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...