Mimi Mama Bishanga, Prisca Zenda na wanachuo wenzetu watanzania wa Cleveland State University, Cleveland, Ohio, tumesikitishwa sana na kifo cha ghafla cha mwanao Maggid Michuzi kilichilichotoke South Africa. Pokea pole zetu na tunamuombea marehemu amani ya kudumu katika usingizi wake wa milele: Na mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu unachopitia.
AMINA
Mrs Marolen a.k.a Mama Bishanga (kulia) na Prisca Zenda wananchuo wa Cleveland State University. kilichopo Cleveland, Ohio, USA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...