RATIBA YA KUWASILI NA MAZISHI YA MPENDWA WETU
ANDREW NICKY SANGA
Ndugu zetu pamoja na Marafiki; Kwa niaba ya Familia ya Bwana Nicky Amon Sanga, Kamati ya Maandalizi inapenda kuwajulisha Ratiba ya Safari ya Mpendwa wetu ANDREW NICKY SANGA hapa Tanzania kuanzia kuwasili kwa mwili wa Marehemu hadi tutakapomweka kwenye nyumba yake ya Milele.

Muda
Tukio
Mahali
Wahusika
DAR ES SALAAM
Jumanne 3 Mei 2016
3:55 Usiku
Mwili kuwasili
Uwanja wa Ndege: Julius Nyerere
Familia, Ndugu, Marafiki na Jamaa Wote
4:30-5:30 Usiku
Kuelekea Kuhifadhi Mwili
Hospitali ya Taifa Muhimbili
Familia, Ndugu na Marafiki na Jamaa Wote
Jumatano 4 Mei 2016
4:00-6:00 Asubuhi
Ibada ya Kuaga
Kanisa la Kilutheri Ubungo (Nyuma ya Ubungo Plaza)
Familia, Ndugu, Marafiki na Jamaa Wote.
6:30 Mchana
Safari ya Kuelekea Dodoma
Kanisa la Kilutheri Ubungo 
Wote Waliojiandaa.
DODOMA
5:00:-6:00 Asubuhi
Chakula
Nyumbani- Kizota
Waombolezaji Wote
6:00
Kuelekea Uwanja wa Mashujaa

Waombolezaji Wote
6:30-7:20 Mchana
IBADA
Uwanja wa Mashujaa
Waombolezaji Wote
7:30-8:45 Mchana
Heshima za Mwisho
Uwanja wa Mashujaa
Waombolezaji Wote
8:46 Mchana
Kuelekea Makaburini

Waombolezaji Wote
9:20 Mchana
Mazishi
Makaburi ya Hijra Chinangali
Waombolezaji Wote
Familia inazidi kutoa shukrani za dhati kwenu wote kwa jinsi mlivyokuwa pamoja nasi tangu mwanzo wa tukio hili hadi sasa. Mungu wa Mbinguni Awabariki Sana.

BWANA Ametoa, BWANA Ametwaa, Jina la BWANA Lihimidiwe.

Imetolewa na Dr. George Longopa KNY Kamati ya Maandalizi ya Dar es Salaam
Simu 0754 870969

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...