Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano na Usajili wa Klabu ya Coastal Union,Hemed Aurora akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo kujadili masuala ya usajili na mashindano kilichoketijuzi kwenye ukumbi wa makao makuu ya klabu hiyo,kushoto ni mjumbe wa kamati hiyo,Abdallah Zuberi,kulia ni Hussein Chuse na anayefuatia ni
Katibu Mkuu wa Klabu ya Coastal Union Salim Bawaziri. Kamati hiyo inaundwa na wajumbe wengine ambao ni Abdi Masamaki,Salim Bawaziri,Hemed Mbaruku,Hussein Chuse,Abdallah Zuberi “Unenge” na Juma Mgunda ambayo itakuwa na jukumu la kusimamia mashindano na usajili.Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano na Usajili wa Klabu ya Coastal Union,Hemed Aurora akihojiwa na wanahabari
Mjumbe wa Kamati ya Mashindano na
Usajili ya Klabu ya Coastal Union,Steven Mgutto akiuliza swali wakati wa
kikao cha kamatihiyo kujadili masuala ya usajili na mashindano
kilichoketi juzi kwenye ukumbi wa makao makuu ya klabu hiyo
Katibu Mkuu wa Klabu ya Coastal
Union, Salim Bawaziri akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
kumalizika kikao hicho.
Picha kwa hisani ya kitengo cha
Mawasiliano cha timu ya Coastal Union.
Picha kwa hisani ya kitengo cha
Mawasiliano cha timu ya Coastal Union.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...