Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akizungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM.
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa ukumbini.
Mkurugnezi Mtendaji wa Uhuru FM Angel Akilimali akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Rajab Luhwavi kuzungumza na wafanyakazi.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Bara Rajab Luhwavi akijibu hoja na maoni mbalimbali baada ya kutolewa na wafanyakazi wakati wa kikao hicho.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiongozwa na Mkurugezi wa Mawasiliano Makao Makuu ya CCM, Godfrey Chongolo na Mkuu wa Chumba cha Habari Uhuru FM, Pius Ntiga, kwenda katika Ofisi za Uhuru Fm, mtaa wa Ukami, katika Jengo la Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, kuzungumza na watumishi wa Radio hiyo ili kujua kwa undani masuala mbalimbali wanayokabiliana nayo katika utendaji wao wa kazi za kila siku, jana. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...